-Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Ofisi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Pilly Mpenda (kushoto) juu ya faida za kujiunga na mfuko huo wakati kiongozi huyo alipotembelea maonyesho ya 36 ya kimataifa ya Dar es alaam jana katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere. Katikati ni Afisa wa NSSF anahusika na mambo ya Itifiki Juma Kintu. |
No comments:
Post a Comment