TANGAZA

Mtaalamu na mchambuzi wa mifumo  ya  Teknolojia ya komputa Bw. Innocent akiwajibika katika moja ya kazi zake akiwa ofisini kwake zilizopo Halmashuri ya Wilaya ya Mpanda. Ndugu zangu nawakaribisha katika Teknolojia hii ya komputa kwani utapata ushauri kuhusiana na utunzaji computer, kutengeza computa yaani computer hardware and software, pia kwa wale wanahitaji kufunguliwa blog mnakaribishwa na kwa wale wanaohitaji kutengenezewa website nyote mnakaribishwa. Ukiwa unahitaji huduma hizi tafadhari wasiliana kupitia namba hizi 0752 00 62 50, 0787 62 16 32 na 0718 08 17 30 au kwa barua pepe ya ikisalala@yahoo.com  pia kwa wanaokuwa wanahitaji komputa kwa ajili ya kununua na matumizi binafsi nyote mnakaribishwa
 katika kitengo cha (ICT) na kwale wanaotaka kutangaza biashara zao nyote mnakaribishwa kwenye blog hii ya kijamii.


Mtaalamu wa kuediti mikanda ya video Bw katona akiwa ofisini kwake akiediti mikanda ya video kutoka VHS na kwenda DVD/CD kwa mawasiliano piga  0789 624 624/0766 656 629 na 0714 33 00 03 au emal katona27@yahoo.com

No comments:

Post a Comment