Thursday, March 1, 2012

mpanda yetu leo

Dkt Rajabu Rutengwe Mkuu wa Wilaya ya Mpanda  
Akitoa  taarifa ya Mvua kubwa iliyonyesha tarehe 22/02/2012 iliyoharibu ekali 365.5 za mahindi likiwepo na shamba la Mh Waziri Mkuu Pinda katka shamba lake zimeharibiwa ekali 57  taarifa aliitoa jana akiwa ofisni kwake.

Mr Phillippe Poinsol (UNDP)
Akiongea na wakimbizi wanaoishi katika kambi ya katumba jana katika mazungumzo yake aliwataka wananchi ambao ni wakimbizi kutaka kuwa na subira juu ya madai yao

Bi Sinikka Antila (Finnish EMB)
Akiwa akihojiana na Mchungaji Mwl Nowadia William juu ya maisha ya ukimbizi tokea amefika hapa Nchini Mwaka 1974 ambaye haypo pichana 

Mwl Nowadia William 
Ambaye ni miongoni  ya wakimbizi anaeishi katika kambi hiyo aliyehamia katika kambi hiyo ya katumba mwaka 1974 akiwa na familia yake ya watoto saba (7) akiongea na Sinikka Antila akimuhoji kutaka kujua nini hatima yao katika ukumbi wao.

No comments:

Post a Comment