Tuesday, February 21, 2012

ZIARA YA MAKAMU WA RAISI TARAAFA YA MPIMBWE

Mhe. Dkt Mohammed Ally Billal  makamu wa Raisi akiwa na wazazi wa waziri mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda nyumbani kwao Kibaoni taraafa ya Mpimbwe jana


Mhe. Dkt Mohammed Ally Billal  Makamu wa Raisi akiwa na viongozi wa Mkoa wa Rukwa pamoja na wazazi wa Waziri mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda nyumbani kwao Kibaoni taraafa ya Mpimbwe
Mhe. Dkt Mohammed Ally Billal Makamu wa Raisi akiwa na viongozi mbalimbali wakati akiangalia shamba la mahindi la Mh. Waziri mkuu Mizengo Peter Pinda nyumbani kwao Kibaoni taraafa ya Mpimbwe akipewa taarifa ya maendeleo ya shamba hilo

Mhe. Dkt Mohammed Ally Billal Makamu wa Raisi akiwa na viongozi wa Mkoa wa Rukwa wakielekea kukagua shamba la mizinga ya nyuki ya kisasa la Waziri mkuu likiwa kama shamba darasa kwa Wananchi


 Makamu wa Rais akiangalia shamba la nyuki la Waziri Mkuu nyumbani kwake Kibaoni.  alifurahia kazi hiyo na kusema kuwa atahakikisha naye anafuga nyuki kwani faida zake ni niyngi






MAKAMU WA RAIS ASIMIKWA UCHIFU WA KABILA LA WAKONONGO ZIARANI TARAFA YA INYONGA WILAYANI MPANDA JANA

Chifu Kayamba wa Inyonga akimsimika Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Billal uchifu wa kabila la wakonongo. Kulia kwake ni Mama Asha Billal Mke wa Makamu wa Rais na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Injinia Stella Manyanya.

No comments:

Post a Comment