Sunday, February 26, 2012

Ufupi Si Ugonjwa



Raia wa Nepal, Chandra Bahadur Dangi mwenye umri wa miaka 72, anasemekana kuwa ndiye mtu mfupi zaidi duniani. Anataka atambulike hivyo. Ana urefu wa sentimeta 56.4 na uzito wake ni kilogramu 12.

No comments:

Post a Comment