Monday, February 27, 2012

Afisa Wa Bunge Azikwa Morogoro


Viongozi wa dini wakijiandaa kwa ibada ya kumuaga aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Utawala na rasilimali Watu na Mshauri Mkuu wa mambo ya Utawalawa Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania marehemu Leo Theodore Mnyanga aliyefariki dunia tarehe 22 Feb. 2012 na kuzikwa katika makaburi ya Mlima Kola nje kidogo ya mji wa Morogoro jana tarehe 26 Feb. 2012. Picha zote na Prosper Minja -Bunge
Spika Makinda akiweka udongo kaburini.

No comments:

Post a Comment