Sunday, April 21, 2013

Prof. Makame Mbarawa azungumza na Rene Meza


001 fe673
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa akimkaribisha ofisini kwake jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza ambapo baadae viongozi hao walifanya mazungumzo juu ya masuala mbalimbali katika sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi nchini na mipango ya Vodacom ya kushirikiana na serikali kuboresha zaidi sekta hiyo.


03 c6c1d

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa akisalimiana na Ofisa Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Vodacom Tanzania, Walarick Nittu wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania(katikati)akiwa na ujumbe wake walipomtembelea Prof:Mbarawa na kuwa na mazungumzo juu ya masuala mbalimbali katika sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi nchini na mipango ya Vodacom ya kushirikiana na serikali kuboresha zaidi sekta hiyo. 


04 9e7fc

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa akisalimiana na Ofisa Mkuu wa Mitandao wa Vodacom Tanzania Bw.Alec Mulugo wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania(kulia)akiwa na ujumbe wake walipomtembelea Waziri  wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa na kuwa na mazungumzo juu ya masuala mbalimbali katika sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi nchini na mipango ya Vodacom ya kushirikiana na serikali kuboresha zaidi sekta hiyo. 


Chanzo: Matina Nkurlu

No comments:

Post a Comment