Saturday, April 13, 2013

JK Afungua barabara ya Tanga – Horohoro


ta1 1ba0c 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kufungua  barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akiwa ameongiozana na  Naibu waziri wa wizara ya ujenzi, Mhe Gerson Lwenge (kulia),  Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, na mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe Chiku Gallawa (kushoto) 

No comments:

Post a Comment