Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (wa pili kulia) akizungumza na wajumbe wa kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani wakati walipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo (leo jumatatu tarehe 8. Oktoba, 2012). Wa pili kushoto ni Mkuu wa msafara huo, Kauder na kulia ni Katibu wa Tume hiyo, Assaa Rashid
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (pili kulia) akizungumza na wajumbe wa kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani waliotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo Jijini Dar es Salaam (leo jumatatu tarehe 8. Oktoba, 2012. Kushoto ni mmoja wa wajumbe wa msafara huo, Van Essen na wa pili kushoto ni Mkuu wa msafara huo, Kauder
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (wa pili kulia) akizungumza na wajumbe wa kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani wakati walipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo leo Jijini Dar es Salaam leo (jumatatu tarehe 8.Oktoba, 2012). Kulia ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid na wa pili kushoto ni Mkuu wa Msafara huo, Kauder
5Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kulia) akibadilishana mawazo na Mkuu wa msafara wa wajumbe wa kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani, Kauder (kushoto) wakati ujumbe huo ulipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo, (leo jumatatu tarehe 8. Oktoba,2012) Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba (wa tatu kulia) akiagana na wajumbe wa kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani mara baada ya kutembelea ofisi za Makao Makuu ya Tume hiyo (leo jumatatu tarehe 8. Oktoba,2012) Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid.
(PICHA NA TUME YA KATIBA)
No comments:
Post a Comment