Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Rais wa Msumbiji Armando Guebuza(kulia) wakati alipowasili jana jijini Dar es salaam katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tayari kwa kuhudhuria mkutano wa dharura wa siku moja wa Kamati ya Ulinzi na Usalama (TROIKA) utakaofanyika tarehe 4.9.2012 mjini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku moja utajadili mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokarisia ya Congo(DRC
Rais wa Msumbiji Armando Guebuza akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange alipowasili jana jijini Dar es salaam katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tayari kwa kuhudhuria mkutano wa dharura cha Kamati ya Ulinzi na Usalama (TROIKA) utakaofanyika tarehe 4.9.2012 mjini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku moja utajadili mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokarisia ya Congo(DRC
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimwongoza mgeni wake Rais wa Msumbiji Armando Guebuza(kushoto) kukagua gwaride la heshimiwa jana jijini Dar es salaam alipowasili kwa ajili ya mkutano wa dharura cha Kamati ya Ulinzi na Usalama (TROIKA) kitakachofanyika tarehe 4.9.2012 mjini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment