Wawakilishi wamajimbo mbaliombali Zanzibar wakipitia Bajeti na masuala mbalimbali kabla ya kuiongia ndani ya Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheri akiwasilisha Hotuba ya Makadirio na Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2012/2013 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
No comments:
Post a Comment