Sunday, April 1, 2012

Polisi CCP Wamaliza Mafunzo Moshi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani Mh. Mbaraka Abdulwakil, akitoa zawadi kwa mmoja wa Wahitimu wa Polisi, kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema.


Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka likitoa heshma.

 

No comments:

Post a Comment