Friday, April 13, 2012

Katibu Mkuu Kiongozi Yupo London


Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akifatana na Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Nje, Bwana J.Haule wahudhuria vikao vya Maafisa
waandamizi wa nchi za Jumuiya za Madola mjini London. Jana walipata
nafasi ya kutembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania, Nchini Uingereza.

Pichani, wakiwa pamoja na Balozi Peter Kallaghe, Naibu Balozi Chabaka
Kilumanga,
Aidha Mhe. Balozi Sefue, atapata nafasi ya kufanya mazungumzo na Maafisa
wa Taasisi ya Smart Partneship movement kuhusu maandalizi ya kikao
kijacho kinachotarajia kufanyika Tanzania 2013.
Mheshimiwa Balozi, Ombeni Sefue, akiweka saini kwenye Kitabu cha wageni
kwenye Ofisi za ubalozi wa Tanzania, London.

No comments:

Post a Comment