Jaji Joseph Warioba Mwenyekiti mteule wa Tume ya Katiba.
Rais Jakaya Kikwete ametangaza tume ya Katiba. Mwenyekiti ni Jaji Joseph Warioba na Makamu wake ni Jaji Augustino Ramadhani. Ina wajumbe 30 , 15 kutoka Tanzania Bara na 15 kutoka Tanzania Visiwani. Katika timu hiyo wapo Profesa Mwesiga Baregu, Dk Salim Ahmed Salim, Ndugu Joseph Butiku, Dk Sengodo Mvungi, Esther Mkwizu, Yahya Msulwa, Said El Maamry na wengineo.
Rais Jakaya ameitangaza tume hiyo leo Ikulu jijini Dar es salaam,Taarifa kamili ya tume hiyo itawajia baadaea
No comments:
Post a Comment