MGANGA
MKUU MFAWIDHI WA HOPSITALI YA MKOA WA SINGIDA DKT. SULEMANI MTTANI AKIMWELEZA
MJUMBE WA BODI YA NHIF BWN ALEX MAGESE MAANDALIZI YA AWALI YA UKARABATI WA
JENGO(ALIPO PICHANI) LITAKALOTUMIKA KUWAHUDUMIA WANACHAMA WA NHIF
NA CHF HIVI KARIBUNI.
MJUMBE
WA BODI YA WAKURUGENZI WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA BWN. ALEX P. MAGESA
AKITOA ZAWADI YA MASHUKA 700 KWA NIABA YA HOSPITALI,ZAHANATI NA VITUO VYA AFYA
MKOANI SINGIDA KWA MUUGUZI MKUU WA MKOA HUO BI.ELLETRUDE MAKOWI
DR.
KUBONYA WA NHIF AKIMPA USHAURI WA NAMNA YA KULINDA AFYA YAKE KUTOKANA NA UZITO
ULIOONGEZEKA BWN ALLY JUMANNE AKIWA NI MMOJA WA WAKAAZI WALIOJITOKEZA KUPIMA NA
KUJUA HALI ZA AFYA ZAO LEO MKOANI SINGIDA,NHIF IMEWEKA KAMBI HIYO
MAHUSUSI IKIWA NI KUWAHAMASISHA WANANCHI KUWA NA UTAMADUNI WA KUPIMA AFYA MARA
KWA MARA.
BWN.
DEUS KUNUWA AKIMPIMA UWIANO WA UREFU NA UZITO WA MWILI
KITAALAMU (BMI) BWN. JOSEPH SANGAU,UHAMASISHAJI WA UPIMAJI WA AFYA KWA
WANANCHI WA SINGIDA UNAKWENDA SANJARI NA SIKU YA WADAU INAYOFANYIKA
MKOANI HUMU AMBAPO WANANCHI WANAIMIZWA KUJIUNGA NA MIFUKO YA AFYA
YA JAMII KWANI NDIYO MKOMBOZI WA HUDUMA ZA AFYA KWENYE HALMASHAURI ZAO HUSUSANI
VIJIJINI.
No comments:
Post a Comment