Thursday, March 29, 2012

Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za Serikali(CAG) akabidhi ripoti yake kwa Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bwana Ludovick Utouh akikabidhi ripoti yake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Kushoto ni naibu mdhibiti n Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bwana Atanas Tarimo

No comments:

Post a Comment