Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Billal akihutubia umati wa
wananchi wa Mpanda katika uwanja wa Kashaulili uliopo katika wilaya
hiyo.
wanananchi wa mpanda wakiwa juu ya miti katika uwanja wa ndege mjini mpanda wakimsubiri kumlaki makamo wa Raisi Mh. Dkt. Mohammed Ally Billal
Wengine wakaona juu ya
miti ndio mahala murua kwao kumuona kiongozi wao uso kwa uso bila ya chenga, japo
usalama kwao ulikuwa mdogo.
Muitikio wa wananchi
kumuona kiongozi wao Makamu wa Rais ulikuwa mkubwa kwani walihudhuria mamia kwa
mamia katika mikutano ya hadhara. Hapa ni katika uwanja wa Kashaulili uliopo Mji
Mpanda.
Sehemu ya umati wa wananchi wakisubiri kusikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi ambaye ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Billal Inyonga Leo.
Sehemu ya umati wa wananchi wakisubiri kusikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi ambaye ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Billal Inyonga Leo.
No comments:
Post a Comment