Wednesday, April 3, 2013

TTCL YAZINDUA HUDUMA YA ‘BANDO NA TTCL’ NA KAMPENI YA PUNGUZO KUBWA LA BEI YA INTANETI

IMG_6851
Peter Ngota Afisa Mkuu wa Mauzo na Masoko akionyesha moja ya simu zinazouzwa na kampuni hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika jengo la makao makuu ya kampuni ya TTCL mtaa wa Samora wakati kampuni hiyo ilipozindua rasmi huduma za Bando na TTCL na Basti  leo jijini Dar es salaam kulia ni Kisamba Tambwe Mkuu wa Mauzo Kampuni ya TTCL.

No comments:

Post a Comment