
Mh Jaji kiongozi mahakama kuu Fakih Jundu akitoa salamu.

Mpiganaji
wa Mjengwa Blog na Kwanza Jamii, Lukelo Mkami Mwipopo ambaye ni mtoto wa
mdogo wa Marehemu, Marehemu Ben Mkami Mwipopo akisalimiana na watoto
wa marehemu mara baada ya mwili wa marehemu kuwasili kijijini Ibatu
wilayani Mufindi tayari kwa mazishi


Mjane wa marehemu Jaji mstaafu akifarijiwa ndugu zake walipo wasili na mwili wa Marehemu Kijijini Ibatu





Sehemu ya watu walioshiriki ibada ya kumuombea marehemu

No comments:
Post a Comment