Monday, September 3, 2012

Mtoto wa marehemu Daud Mwangosi Akimkumbatia Kwa Uchungu Dr . Wilbroad Slaa Jioni Hii..

Inasikitisha; Mtoto wa marehemu Daud Mwangosi Akimkumbatia Kwa Uchungu Dr . Wilbroad Slaa Jioni Hii..

Daud ameacha mke na watoto wanne, wa mwisho ana miaka miwili tu. Anayeangalia kulia ni Mzee Arcado Ntagazwa.

No comments:

Post a Comment