Friday, August 3, 2012

Pinda Azindua Kitabu Kiitwacho Lighting Fire Kilichoandikwa Na Wanasayansi 31 Mabingwa Wa Kitanzania

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha kitabu kiitwacho Lighting Fire kilichoandikwa na wanasayansi 31 Mabingwa wa Kitanzania baada ya kukizindua kwenye ukumbi wa Tume ya taifa ya Sayansi na Tekinolojia, Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni  Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa  Makame Mbalawa na Kulia ni Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS), Profesa Esther Mwaikambo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa, Idris Kikula baada  ya kuzindua  kitabu kiitwacho Lighting fire kilichoandikwa na  wanasayansi 31 mabingwa wa kitanzania, kwenye ukumbi wa Tume ya Taifa ya Sayansi  na Teknolojia, Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu  Huria cha Tanzania, Profesa  Tolly Mbwete. 
 
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment