Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika Semina ya Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makaazi itakayofanyika Ogast 26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi itakayofanyika Ogast 26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Mjini Zanzibar.
Muakilishi wa Jimbo la Dimani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame akichangia jambo katika Semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi itakayofanyika Ogast 26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Mjini Zanzibar.
Muakilishi wa Jimbo la Dole Shawana Bukheti akichangiajambo katika Semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi itakayofanyika Ogast 26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Mjini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee akitoa ufafanuzi wa Baadhi ya Masuala yalioulizwa na Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria katika Semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi itakayofanyika Ogast 26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Mjini
Baadhi ya Waandishi waliohudhuria katika Semina ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi itakayofanyika Ogast 26/2012,Semina iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Mjini .
No comments:
Post a Comment