Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa Brazil Mama Dilma
Rousseff alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre
jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 kuhudhuria mkutano wa Open Government
Partnership
Ujumbe
wa Tanzania kwenye mkutano wa Open Government Partnership ukibadilishana mawazo
kabla ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia
Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012. kutoka kushoto ni
Waziri katika ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mh Mathias Chikawe, Waziri wa
kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali
Suleiman, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Mahadhi J.
Maalim na Msahuri wa Rais (Masuala ya Siasa) Dkt Laurian Ndumbaro
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na mwenyeji wake Rais wa Brazil Mama
Dilma Rousseff na wajumbe wengine katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia
Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa Open Government Partnership. Kulia ni Waziri wa mambo ya Nje wa
Marekani Bi Hilary Clinton
Wajumbe
wa Tanzania kutoka taasisi mbalimbali za kiraia na serikali wakiwa katika
ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April
17, 2012 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Open Government Partnership.

Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia
Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 katika mkutano wa Open
Government Partnership
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Georgie Mh Nika Gilauri
katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil,
April 17, 2012 baada ya kuhudhuria mkutano wa Open Government Partnership
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mabalozi wa nchi mbalimbali wakati wa
Mchapalo ulioandaliwa na Balozi wa Tanzania nchini Brazil Mh Francis Malambugi
nyumbani kwa Balozi usiku wa April 17, 2012 jijini Brasilia, Brazil
No comments:
Post a Comment