Thursday, March 29, 2012

Uzinduzi Wa Utafiti Wa Kuku Wa Kienyeji


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipiga fimbo mfano wa umbo la yai ikiwa ni
ishara ya kuzindua matokeo ya utafiti wa kuboresha ufugaji wa kuku wa asili katika hafla
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana jijini Dares Salaam.
Picha namba Hazina 233ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifafanua jambo katika picha
ya pamoja na wadau wa uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa kuboresha ufugaji wa kuku
wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana jijini Dares
Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo ya ufugaji
kuku wa asili kutoka kwa mfugaji , Godfrey Mwaipopo mkazi wa Kibaha wakati wa
uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa kuboresha ufugaji wa kuku wa asili katika hafla
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana jijini Dares Salaam.
baadhi ya wadau wa uzinduzi wa matokeo ya utafiti
wa kuboresha ufugaji wa kuku wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee jana jijini Dares Salaam.

No comments:

Post a Comment