Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Chuo cha Polisi
mjini Moshi leo Machi 6, 2012 tayari kwa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani
Mh Shamsi Vuai Nahodha na kushoto kwake ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi
Mwema. (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa
ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Chuo
cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012
Rais Jakaya Kikwete akizindua mojawapo ya vitabu
vya muongozi wa Jeshi la Polisi wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6,
2012 Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha wa kulia Rais ni
Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Mh Leonidas Gama
No comments:
Post a Comment