Wafanyakazi mbalimbali wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo,wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shairif Hamadi alipokutana nao na kuzungumza nao kuhusiana na masuala mazima ya Utendaji wa Kazi zao na matatizo wanayokumbana nayo,hapo katika ukumbi wa Salama Holl Bwawani Zanzibar,hii ni baada ya kumaliza kwa Ziara yake ya Kuzitembelea Idara mbalimbali za Wizara hio. |
No comments:
Post a Comment