Thursday, March 8, 2012

Chama cha wanasheria Marekani Chatembelea Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania


Ujumbe wa chama cha wanasheria Marekani ukiwa katika majadiliano na ujumbe wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania ulioongozwa na Kamishna wa Tume Jaji mstaafu Ernest Mwipopo (wa kwanza kulia) ukiwa katika mazungumzo katika ofisi za Tume ya Kuirekebisha sheria. (Picha zote na Ofisa Habari wa Tume Munir Shemweta

 

Adam Mambi ambaye ni Katibu msaidizi (Utafiti) wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania akitoa ufafanuzi mbele ya ujumbe wa chama cha wanasheria wa Marekani. wa kwanza kushoto ni kiongozi wa ujumbe huo Bi. Salli Swaitz na katikati ni Kamishna wa Tume Jaji mstaafu Ernest Mwipopo.

Ujumbe wa chama cha wanasheria cha Marekani ukiwa katika majadiliano

.

Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji mstaafu Ernest Mwipopo akiwa na Kiongozi wa ujumbe wa chama cha wanasheria cha Marekani mara baada ya kumkabidhi majarida ya Tume.

Adam Mambi katibu msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (wa pili kushoto mbele waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa chama cha wanasheria cha Marekani. wa pili kulia mbele ni kiongozi wa ujumbe huo Bi. Salli Swaitz.

No comments:

Post a Comment